SW
SwahiliHub Cloud
JAMII YENYE USTAWI NA AKILI BANDIA (AI)
Teknolojia, Elimu, na Uwezeshaji kwa Lugha ya Kiswahili
SwahiliHub Cloud Banner
🎵 Wito Wa Umoja
AI Voice Bank & AI Cloud Studios
Nyimbo hii ni kauli mbiu yetu katika kutekeleza miradi.
Kasuku AI
00:00 / 00:00

Dira na Lengo

SwahiliHub Cloud inaleta mapinduzi ya kidigitali kwa jamii za Afrika kupitia teknolojia ya AI na lugha ya Kiswahili.
Dira: Kuwezesha jamii ya Kiafrika kutumia teknolojia ya AI kwa ustawi wa kijamii na kiuchumi.
Lengo: Kuondoa vizuizi vya lugha na teknolojia, kufungua fursa kwa wote.

Kuhusu SwahiliHub Cloud

SwahiliHub Cloud ni jukwaa la kidijitali linalolenga kutoa huduma za kiteknolojia kwa lugha ya Kiswahili, likitumia akili bandia (AI), kompyuta ya wingu (cloud computing), na mifumo ya kisasa ya mawasiliano.

SwahiliHub Cloud Community Social Scheme Eye Shield Projects ni movement inayowaunganisha vijana, wataalamu na mashirika kubuni na kutekeleza miradi bunifu ya kijamii kwa kutumia Artificial Intelligence. Lengo kuu ni kuhakikisha jamii ya Kiafrika hainyimwi nafasi ya kuunganishwa na mapinduzi ya kiteknolojia duniani.
Anna Mwita
Aniceth_Alphonce
Project Lead
Uzoefu: Miaka 5 kwenye uongozi wa miradi ya AI na jamii.
Aniceth_Alphonce ni mtaalamu wa usimamizi wa miradi ya teknolojia na amekuwa mstari wa mbele katika kuunganisha AI na maendeleo ya kijamii Afrika Mashariki.
Joseph Kimaro
Frank Janson
AI Developer
Uzoefu: Miaka 5 ya kutengeneza mifumo ya AI na blockchain.
Frank Janson ni mbunifu wa mifumo ya AI na blockchain, mwenye uzoefu wa kimataifa katika kutengeneza suluhu za kidigitali kwa sekta mbalimbali.
SwahiliHub Cloud Team
Tunawakilisha ubunifu, uaminifu na maono mapya kwa Afrika kupitia AI na teknolojia jumuishi.

Historia (background)

SwahiliHub Cloud imezaliwa tokana na maendeleo ya teknolojia duniani hasa uvumbuzi wa Akili Bandia (AI) na mapinduzi ya utumiaji teknolojia hii katika uendelezaji wa jamii.

Mwaka 2015 Jamii ilipokea madiliko ya kimaendeleo toka miradi mbalimbali ambayo ilitumia internet kuunganisha watu. Crowdrising Peer to Peer Fund Project ilikuwa moja ya miradi hiyo ambapo leo ni chemichemi ya kuzaliwa kwa SwahiliHub Cloud
Asha Omar
Jacky Khamis
Community Mobilizer
Uzoefu: Miaka 5 kwenye uhamasishaji na elimu ya kidigitali.
Jacky Khamis ni bingwa wa uhamasishaji na elimu ya kidigitali, akiongoza miradi ya kijamii na mafunzo ya teknolojia mashinani.
Ibrahim Musa
Philbert Maila
Partnerships
Uzoefu: Miaka 5 ya kushirikiana na taasisi za kimataifa.
Philbert Maila ana historia ndefu ya kushirikiana na taasisi za kimataifa, akileta fursa na mitandao muhimu kwa maendeleo ya miradi ya AI Afrika.

Miradi Kipaumbele

Kasuku eSIM
Usambazaji wa eSIM milioni 5, mawasiliano ya bure, kitambulisho digitali na peer-to-peer revenue kwa vijana wa Afrika.
0.AI Elimu Bure
AI://Elimubure.Ai kupitia Raspberry Pi na vifaa nafuu, Wi-Fi hotspots, elimu bure na dharura za jamii.
AI Voice Bank & AI Cloud Studios
Jukwaa la sauti za Kiafrika, studio za AI na huduma za voice banking kwa biashara na elimu.
AI TV Stations & Kasuku Radio
Chaneli na redio za AI zinazowasilisha habari na elimu Kiswahili 24/7.
Esport Swahili Academy
Kukuza vipaji na ubunifu kupitia michezo ya kidigitali na AI kwa vijana.
AI Labs & Tech Workshop
Maabara za AI na warsha za teknolojia kama Car AI Workshop kwa ubunifu na mafunzo ya vitendo.
AI Agriculture Development
Kuboresha kilimo kupitia AI: usimamizi wa mashamba, utabiri wa mazao na teknolojia za kisasa vijijini.
SwahiliHub Cloud AI Software & Electronics
Utengenezaji wa programu za AI na vifaa vya kielektroniki vinavyowezesha jamii za Afrika.
Travel & Tourism
Kukuza utalii wa ndani na nje kwa kutumia AI: ramani, tafsiri na usalama wa wasafiri.
AI Research & Health System Improvement
Utafiti wa AI na maboresho ya mifumo ya afya: utambuzi wa magonjwa, usimamizi wa kliniki na afya ya jamii.
AI Transportation Digital Systems
Mifumo ya kidigitali ya usafiri: ratiba, usalama na ufuatiliaji wa vyombo vya usafiri kwa AI.
Community Social Scheme, Eye Shield & Cyber Security
Miradi ya kijamii, ulinzi wa macho na usalama wa mtandao kwa jamii za Afrika kupitia SwahiliHub Cloud.

Vipengele Vikuu

🗨️
Chat ya Wingu
Majadiliano ya jamii na support
🧠
0.AI Learning
Kozi na video za AI
💳
AI Master Card Wallet
Fedha, risiti na token
🎧
Muziki & Podcast
Burudani ya AI
📺
SwahiliHub TV
Habari & elimu 24/7
🧾
Biashara & Mikopo
Sokoni na mikataba
🗺️
Ramani & Maeneo
Ramani, events, maeneo
🤖
Kasuku AI
Msaidizi wa AI binafsi
🎮
Michezo & Esport
Digital gaming
🌐
Web3 & Blockchain
Usalama na blockchain

Mpango Kazi (Roadmap)

Picha na Video za Mradi

Jiunge na Harakati

Maswali Yanayoulizwa Sana